Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Moudgulf na kuku wake mia sijui kama atapaweza hapa. Naona parefu kidogo !!!
hahahaha
jamaa analeta kuku hahaha
011d9c4640686f29de98bf075e3f4dce.jpg
 
Asante bageshi. Kimeshapita. Mungu ni wa ajabu sana. Hawa watabiri wa hali ya hewa walitutisha sana waliposema kwamba kitapita kikiwa category 4. Watu wamehangaika na kwenda kwenye ma-shelters huko (mashuleni, makanisani na maktaba). Mungu Akafanya yake pepo zingine hata hawajui zimetoka wapi huko juu kabisa zimekuja na kuanza kupambana nacho (wind shear). Kimekuja kutufikia hapa category 1 kimedororaaaa Basically ilikuwa ni mvua tu ya kweli kweli na upepo wenye nguvu kidogo basi. Hata umeme haukukatika!

Kumekucha hapa hotelini na kuna breakfast buffet ya bure ngoja nijiandae nikapambane nayo. Rocky City huko mnasemaje? Tumshukuru Mungu !!!
Hakuna kama Mwenye Enzi Mungu
 
Back
Top Bottom