mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaVery romantic japo haifikii ile ya Usukumani binti katandika kanga kwenye kijiwe tambarare mmeegemeana. Ukifika home magoti na viwiko vimechubuka vinavuja damu unasingizia umeanguka. Nyie acheni tu !!!
Aisee kuna sehemu nzuri sana
Nafikiri ni Edgar Hoover
HahahahahaHaka ka jakitoo usingizi ushakata tayari, huyu Mkoromije amemsababishia maradhi ya insomnia huyu mtoto! [emoji23][emoji23]
dah!11% of Americans think 'HTML' is a type of STD.
Shimba inaelekea gallery yako imejaa hivi vitu
So sad kumbukumbu mbaya sana na hii hotel tulitoka Siku moja kwenye charity walk tukaenda jioni swimming pool rafiki alikufa hapo kwenye hiyo swimming pool ya Kilimanjaro alikuwa Mtoto wa naibu meya wakati huo na Diwani wa upanga Saada