andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Ni bora ukakutana na hayo mapema kuliko ukapokelewa kwenye familia kinafiki.Word[emoji122][emoji122]
Ila hii ndoa mmmh!acha tu....
Hapo mwanamke ajue tu kujishusha ukweni na kwa mwanaume maana......
Katika vitu ambavyo naomba nisijefanya hata kwa bahati mbaya ni kutenganisha ndugu kwakweli maana malipo yake ni makubwa sana