Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu umeamka au umejibia usingizini? Maana huyu mpare ametufanya tuonekane wengine hatuna maana kwenye jamii zetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Good morning brother
Ndiyo naamka brother. Mpare huyo ni shida. Ila na wapenzi wetu nao hawa ni pasua kichwa tu. Yaani mtu kuwa singo faza ndo wanampapatikia namna hiyo? Kama wanataka akina Viv si waseme tuwazalishe tu? Kuna raha gani kuwa mama wa kambo - cheo kibaya kisicho na shukrani? Inashangaza sana !!!
 
[emoji101] [emoji101] [emoji101]
Eti wote pasua kichwa[emoji23][emoji23][emoji23]kasoro mimi na malkia wa masaki tu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Habari ya kuamka shemeji
 
Back
Top Bottom