Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndiyo naamka brother. Mpare huyo ni shida. Ila na wapenzi wetu nao hawa ni pasua kichwa tu. Yaani mtu kuwa singo faza ndo wanampapatikia namna hiyo? Kama wanataka akina Viv si waseme tuwazalishe tu? Kuna raha gani kuwa mama wa kambo - cheo kibaya kisicho na shukrani? Inashangaza sana !!!
Doooohhhh[emoji55] [emoji55] [emoji124] [emoji124]
 
Aiiiiii !!! ISIS ni wa kupeleka Ntwara kweli na siyo Dubai?
Wife nilimpeleka kwa bibi kijijini hukooo, nyani wana shinda jikoni kuiba chakula. Baada ya siku nne nikamuambia tunaondoka akagoma...
Usishangae malkia kwenda kuinjoi Ntwara... Ni mpenda vitu vya asili yule [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Doooohhhh[emoji55] [emoji55] [emoji124] [emoji124]
[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Back
Top Bottom