Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nyinyi mna msimamo. Naheshimu sana mwanamke mwenye msimamo. Siyo kila mwanaume kujipendekeza pendekeza tu.

Kumekucha salama shemeji. Braza Cole siku hizi mbona haonekani onekani sana? Hata paraboz za kukudekesha zimepungua. Au singo faza keshafanya yake kichini chini?
[emoji23][emoji23][emoji23]singo faza hana chake
Cole anabanwa siku hizi ndio mana
 
Back
Top Bottom