Basi wazazi wanazingua,kama walikubali akatoe mahari basi hata mbele za Mungu ana haki ya kuoa kabisa,mana wao wameonyesha udhaifu wa kigeu geu,kama wangemkatalia kutoa mahari hapo sawaAlishirikisha na walijua anaenda toa mahari, pia Dada alikuwepo kama muwakilishi
CantstopwontStop
kwema kabisaHumu ndani kwema
CantstopwontStop
Hahahahahahahahaha
nitamletea mzigo wa mabomu
jamani jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]andaa tu mana huu mteremko ni zaidi ya kitonga et
Kuna sharti hapoSharti embu fafanua
Huyo wifi ni mchawi tu [emoji57]mfyuu zake...Walitambulishwa, waliona mahali ikitolewa, wifi mtarajiwa anadai mchumba wa kaka yake ni prostit eti Ana rafiki yake anamjua kuwa afai.
Kwahyo kwa kiasi flani amekuwa akimshawishi mama kumuona mkwe afai.
Ni shida
CantstopwontStop
Huyo bidada anataka kuolewa yeye na kakaake ama?Alishirikisha na walijua anaenda toa mahari, pia Dada alikuwepo kama muwakilishi
CantstopwontStop
Kwema mamboHumu ndani kwema
CantstopwontStop
Hata mimi ndo maana nashangaa,kwanini wasimkatae tangu mwanzo kabla mahari haijatolewa?Basi wazazi wanazingua,kama walikubali akatoe mahari basi hata mbele za Mungu ana haki ya kuoa kabisa,mana wao wameonyesha udhaifu wa kigeu geu,kama wangemkatalia kutoa mahari hapo sawa
Hivi upo jorani?