Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata mimi ndo maana nashangaa,kwanini wasimkatae tangu mwanzo kabla mahari haijatolewa?
Inamaana hiyo tabia ndo wameiona sasahivi?
Watu wengine bhana
Hao wazazi ni vigeugeu sana,kitendo cha kukubali awali maana yake imepitishwa kuanzia duniani mpaka kwa huyo tusiyemuona muumba,sasa wakigeuka hata muumba wao anawashangaa
 
Back
Top Bottom