Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Chui ni mkubwa na mwenye misuli zaidi kuliko duma, lakini mdogo kidogo na mwenye misuli kidogo kuliko jaguar. Madoa ya chui walio Afrika Mashariki ni ya mviringo, na kwa walio kusini mwa Afrika huwa ya mraba. Wanyama aina ya chui wanakadiriwa kuishi umri wa miaka 21.
Chui anao uwezo wa kukwea miti, na huonekana akijipumzisha kwenye matawi ya miti wakati wa mchana, na mara zote hupenda kuburuza mawindo yake mpaka juu ya miti na kuining’iniza huko tayari kwa kujilisha. Ni mara chache chui kula mawindo yake chini ni isipokuwa anapokuwa na watoto. Chui ni mnyama mwenye nguvu za wastani akilinganishwa na wanyama wengine wa jamii yake.
 
Mnyama huyu anao uwezo wa kukimbia km 58 kwa saa, kuruka mbele zaidi ya mita 6 na kuruka juu kiasi cha kufikia mita 3. Chui kiasili ni miongoni mwa wanyama wanaowinda usiku, japo wamerekodiwa mara kadhaa wakiwinda mchana. Wao hutumia muda wao mwingi kulala, aidha juu ya miti, kwenye miamba au kwenye nyasi. Inasemekana ni mnyama mkali na muoga na ndio sababu hupenda kuishi juu ya miti au katika vichaka vilivyoshonana sana.
 
Ikumbukwe kwamba chui ni jamii ya viumbe wanaokula nyama. Chakula kikuu cha chui ni wanyama. Ingawa hupendelea wanyama wa umbo la kati, chui hula wanyama kama vile pofu dume mwenye kg 900, swala, nyumbu n.k. Milo yao hujumuisha sana wanyama wenye kwato na nyani, lakini hula mamba, ndege na samaki. Kwa Afrika, swala wa umbo la kati ndio chakula kikuu cha chui, hasa swala pala. Huko Asia chui hula mbawala, chitali na muntiako na pia aina ya paa wa Asia na Ibex.
 
Hizi ndo aina 10 za paka hatari duniani walioishi miaka 1000 iliyopita
kabla mwanadamu hajaanza shughuli za uwindaji , wanyama jamii ya paka ndio waliokuwa wakubwa na wenye nguvu kuliko wengine wote duniani, hat leo hii wanyama hao bado wanazidi kuwa tishio mfano wa chui, na wengineo
hapa katika makala hii nimeamua kukuletea wanyama 10 jamii ya paka walioishi miaka zaidi ya 1000 iliyopita na wenhine miongoni mwao wakiendelea kuishi hadi leo hii,,,,,,,
 
Giant Cheetah (Duma wakubwa)


Duma wakubwa waliishi miaka mingi iliyopita kabla ya shughuli za mwanadamu, na fisi hawa walikuwa wakubwa sana kiasi cha kumzidi simba wa leo, duma hawa jamii yao inafanan kabisa na jamii ya duma wa leo
fisi hwa walikuwa na kilo 120-150 (265-331lbs), waliitwa simba awkubwa wa Africa enzi hizo
Duma hawa walisemekana kukimbia kuliko mnyama yeyote leo hii, japo nimepitia baadhi ya mitanda kuna wanaosema duma wa leo anawezakumzidi duma wa kipindi kile mbio
 
Machairodus kabir

achilia mbali wanyama wa leo wanaodaiwa kuwa na hasira, mnyama huyu alikuwa hatari zaidi ya maelezo kwani aliweza kumeza wanyama wenzie hata bila sababu
ni moja katika ya wanyama waliokuwa na nguvu sana kipindi hiko akiwa na zaidi ya kilo 500
aliweza kuwatafuna wazima wazima wanyama wote wadogo wadogo bila hata huruma pia alikuwa mgomvi sana kwa kila aina ya mnyama
 
Back
Top Bottom