Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

180527.jpg
 
Andjul mtoto wa Dar unajifanya mtu wa Tukuyu. Jitokeze tujuane

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimeanza biashara ya maparachichi tangu enzi za usafiri wa magoma moto keria ya mizigo juu. Achana na relwe mizigo yangu ilikuwa inaozea Makambako.
Nikainjoi zaidi biashara yangu ujio wa KAMATA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom