Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nadhani ni kwa sababu ya speed ya uzi huu. Mie nafasi kama inaruhusu naanzia mbele halafu naweka target ya page 40 au 50, ila kama nafasi hakuna Mkuu inakuwa ngumu kurudi nyuma zaidi na ukakosa uzi huu kwa siku chache tu basi unakuta page kama 500 zimeongezeka kutokana na supersonic speed ya uzi huu.
Yap Mkuu ni kweli kama ukikosa kuingia Siku tatu hivi ni shida
 
Mkuu nimeanza biashara ya maparachichi tangu enzi za usafiri wa magoma moto keria ya mizigo juu. Achana na relwe mizigo yangu ilikuwa inaozea Makambako.
Nikainjoi zaidi biashara yangu ujio wa KAMATA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
KAMATA na Leyland daf zao aisee tumetoka mbali mpka yutong sasa
 
Back
Top Bottom