Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4e50df2a8674f65bca136485096b4fb8.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo bidada anataka kuolewa yeye na kakaake ama?
Kama alitambulishwa kwanini asiongee maneno kabla ya mahari?
Huyo ni mchawi kasoro vitendea kazi
Haya mambo ya makopakopa si ya kuyaingilia kabisa kila mtu afanye maamuzi yake mwenyewe
Yaani wameanza kumsuspect Mara mchawi, Mara kazeeka mambo kibao Sasa jamaa ajui afanyeje.

CantstopwontStop
 
Back
Top Bottom