Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wenger amefichua kwamba ni "maadili" katika Arsenal ambayo yalimshawishi kukataa kwenda Manchester United walipomuomba ahamie huko kujaza nafasi ya Sir Alex Ferguson kama meneja Old Trafford alipostaafu. (Independent)
Afisa mkuu mtendaji Manchester United Ed Woodward atatumia ufanisi wa klabu hiyo kibiashara kuwavutia Gareth Bale, 28, wa Real Madrid na Antoine Griezmann, 26, wa Atletico Madrid katika klabu hiyo majira yajayo ya joto. (Manchester Evening News)
Mkufunzi mkuu wa Stoke City Mark Hughes huenda akatozwa faini kwa kumsukuma Jose Mourinho kwenye eneo la wakufunzi uwanjani wakati wa sare yao na Manchester United Jumamosi. (The Times)
 
So sad kumbukumbu mbaya sana na hii hotel tulitoka Siku moja kwenye charity walk tukaenda jioni swimming pool rafiki alikufa hapo kwenye hiyo swimming pool ya Kilimanjaro alikuwa Mtoto wa naibu meya wakati huo na Diwani wa upanga Saada
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bd019585817f7aade07252e3fa5857a0.jpg
hii kitu kwenu mnaitaje
Bupu, upupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hiyo pool ni ndogo sana, halafu inakuwa imezungukwa na viti/vitanda karibu sehemu zote. Ina maana hawakumuona akitapatapa? Umenikumbusha mambo ya Simba Grill na Summit! [emoji23][emoji23]
Kwenye hiyo pool walikufa wengi tu, wengine hawa kujua kuogelea wajitosa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[HASHTAG]#ChampionsLeagueIsBack[/HASHTAG] : •Real Madrid wanaanza kuutafuta ubingwa wao 3 mfululizo wa mabingwa wa ulaya. - CR7 anarejea tena dimbani, baada ya kukaa nje kwa takribani mwezi. Ana rekodi ya kuwa mfungaji wa magoli katika msimu mmoja wa UCL hatua ya makundi - magoli 11. •Lionel Messi anahitaji kufunga magoli 3 tu ili kutimiza magoli 100 katika mechi za UEFA, Ronaldo ana 108. : •Marudi ya mechi za fainali ya UCL mwaka 2015 (Barcelona v Juventus) na fainali ya 2016 [HASHTAG]#UEL[/HASHTAG] final (Liverpool v Sevilla). : •Akiwa Porto, Iker Casillas anajiandaa kucheza msimu wake wa 19 wa Champions League. : •Leipzig na Qarabağ watacheza mechi zao za kwanza kabisa katika michuano hii, Feyenoord wao wanarejea katika usiku wa Champions League baada ya miaka 15.
Ulaya leo
 
Dondoo:
Chui anaumbo nene na lenye ukakamavu, kwa kuwa ameumbwa kutumia nguvu zaidi katika shughuli zake wakati Duma anaumbo jembamba na refu kwa ajili ya kasi kubwa wakati wa kukimbia.

Chui hufanya mawindo yake nyakati za usiku zaidi wakati Duma yeye huona vizuri zaidi mchana kuliko usiku hivyo uwindaji kwake ni mchana zaidi.
Ok
 
Zama za vijana kuvaa mabegi mgongoni

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

CantstopwontStop
 
Back
Top Bottom