myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Asante mkuu kwa kumfikishia ujumbe Bwana mmoja hataki kunilipa,
Ndo maana amekuwa akiingia huku usiku tu.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
nilikuwa namwambia huyo kivuruge wa ndoa za watu aache kumtesa mkoromije[emoji23][emoji23]Wewe kipenzi ndo maneno gani hayo kwa shemeji yako
CantstopwontStop
Nimeitikia we mwanaumecarbamazepine weye mwanamke nakusalimia
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu umenikumbusha mbaaali.... Ujio wa chai maharage, Buguruni-Gongo la Mboto mwisho wa lami. Naenda Pugu secondary kwa mguu...
Tazara-Temeke mwisho tunapanda viford
Pamoja mkuuasante kwa kunisaidia mzee wa liver
[emoji6] [emoji6] [emoji6]ninavyoelewa mpaka unatoa mahari wazazi washatoa baraka,sasa wakati anatoa mahari hakushirikisha wazazi?
Kwema kabisa mkuuHumu ndani kwema
CantstopwontStop
Poa mkuu
Tupo mkuu
Hahahahaha
HahahahahaPamoja na Watanzania kupendelea kutembea katika nchi mbalimbali hii ndo mara ya kwanza kusikia mtu anafanya safari ya Somalia.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app