myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kim Il-sung was the leader of North Korea from its establishment in 1948 until his death in 1994. He held the posts of Premier from 1948 to 1972 and President from 1972 to 1994
Mijanaume isiyojielewa hii,ukute mwanzo alikuwa anamsifia vile vile baada ya kibuti inakuja na mineno ya shombo[emoji57][emoji57][emoji57]mfyuuu zakeHayo mandala hukuyaona hapo mwanzo? Wanaume sometimes tu wakatili sana !!!!
![]()
KabisaHauchuji
Hapo sasa amenipataDuu Mkuu, leo umenipania hasa! Umeanza vitu vingine karibia na vi portable kabisa! [emoji23][emoji23]
8:5104:52
Asante mkuu kwa kumfikishia ujumbe Bwana mmoja hataki kunilipa,dawa ya deni, kulipa..
[emoji818][emoji818][emoji818]Tupeane likes wakuu BILA KUBAGUANA. Ndiyo lengo kuu la uzi huu. TOA LIKES POKEA LIKES....
![]()
Vanessa WilliamsTimeless stuff.
I love this Song so much
Hakuna kama MAMAImenigusa sana.
Wote Wawili wamepata Ajali, yaani Mke na Mume.
Lakini cha ajabu pamoja ya kuwa wote wapo kwenye Maumivu makali, MAMA anajali Mtoto wake kwanza. Ananyonyesha Mtoto.
Mwacheni MAMA siku zote aheshimiwe.
Hakuna kama MAMA