Jambo la sita
Akitaka kutaga mayai, tai jike na tai dume hushirikiana kutafuta sehemu salama iliyo juu sana kwenye mti ambayo sehemu hiyo haina maadui. Kisha, tai dume anaenda chini ardhini kuchukua miti yenye miiba anakuja anaitandaza kwenye sehemu wanayotengeneza kiota. Tai dume tena, hurudi ardhini kuchukua matawi ya miti kwa jili ya kutengeneza kiota. Hurudia na kurudia mpaka kiota kinakuwa kikubwa. Kisha baada ya kuweka miiba na vimatawi vidogo vidogo vya miti, tai huyu anaenda tena chini kuchukua majani laini,