Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
akimaliza kuweka majani laini anarudi tena kuchukua miiba anakuja anaiweka juu ya kiota ili kuzuia maadui, na mwisho akimaliza hayo yote ana nyonyoa baadhi ya manyoya yake ili kuweka sehemu ya mayai yatakapokuwa iwe laini.
Tai jike akisha taga mayai; wanasaidiana na tai dume kuyaatamia kwa zamu, pia kazi ya ulinzi huifanya wote kwa kushirikiana. Vifaranga wakishatotolewa; tai dume na tai jike hushirikiana kuwalea. Baada ya muda kidogo tai jike ataanza kuwatoa vifaranga na kuwaweka kwenye miiba pembeni kidogo ya kiota, halafu vifaranga hurudi ndani ya kiota, atafanya hilo zoezi mara kadhaa baadae