Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tai jike anapoyaondoa manyoa kwenye kiota, anataka tujifunze kwamba kuishi kwa maisha yale yale bila kuchomwa na miiba hutapata uzoefu na maarifa ya kukupeleka kwenye mafanikio. Miiba ( changamoto) ndizo zinazokukomaza kwenye safari yako ya kufanikiwa. Usizilaumu changamoto bali tafuta namna ya kukabiliana nazo huku ukijifunza kitu kutokana na changamoto hizo.
Hata ukiwa na watoto wako, wakati mwingine wapitishe kwa makusudi kwenye mazingira magumu ili wajifunze kitu. Wapitishe mara kwa mara kisha unapomaliza kuwapitisha waulize wamejifunza nini?. Utakuwa unawasaidia