myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
likes
Jambo la tano
Tai hupima kwanza kabla ya kuamini.
Tai jike akikutana na tai dume na wakataka kujamiiana, tai jike hupaa kwa kasi kubwa kwenda chini wakati huo tai dume anafuatia kwa nyuma. Akifika chini huchukua tawi la mti kisha hupaa tena angani na tawi hilo huku tai dume anafuata kwa nyuma. Akifika umbali mrefu angani tai jike huliachia hilo tawi na tai dume hulikimbilia mpaka alikamate kabla halijadondoka chini na akisha likamata analirudisha tena juu kwa tai jike.

Tai jike atalipokea hilo tawi na anapaa nalo juu sana halafu analidondosha tena. Kama kawaida yake tai dume atalifukuzia mpaka alikamate na atalirudisha kwa tai jike tena. Tai jike ataendelea na mchezo huu mpaka ajiridhishe kwamba tai dume huyo, yuko vizuri na amefuzu majaribio hayo, hapo ndipo tai jike atakubali kupandwa na tai dume huyo.
Tunajifunza nini? Katika maisha yako binafsi au katika biashara yako, unatakiwa kupima mtu unayetaka kushirikiana naye kama kweli amedhamiria kushiriki na wewe. Maana wapo wengine ni waigizaji tu.

Jambo la sita
Akitaka kutaga mayai, tai jike na tai dume hushirikiana kutafuta sehemu salama iliyo juu sana kwenye mti ambayo sehemu hiyo haina maadui. Kisha, tai dume anaenda chini ardhini kuchukua miti yenye miiba anakuja anaitandaza kwenye sehemu wanayotengeneza kiota. Tai dume tena, hurudi ardhini kuchukua matawi ya miti kwa jili ya kutengeneza kiota. Hurudia na kurudia mpaka kiota kinakuwa kikubwa. Kisha baada ya kuweka miiba na vimatawi vidogo vidogo vya miti, tai huyu anaenda tena chini kuchukua majani laini,
I like this. Comment moja unairudia mara tano [emoji23][emoji23][emoji23]. Vita vya likes hivi safi sana.Jambo la tano
Tai hupima kwanza kabla ya kuamini.
Tai jike akikutana na tai dume na wakataka kujamiiana, tai jike hupaa kwa kasi kubwa kwenda chini wakati huo tai dume anafuatia kwa nyuma. Akifika chini huchukua tawi la mti kisha hupaa tena angani na tawi hilo huku tai dume anafuata kwa nyuma. Akifika umbali mrefu angani tai jike huliachia hilo tawi na tai dume hulikimbilia mpaka alikamate kabla halijadondoka chini na akisha likamata analirudisha tena juu kwa tai jike.
Jambo la sita
Akitaka kutaga mayai, tai jike na tai dume hushirikiana kutafuta sehemu salama iliyo juu sana kwenye mti ambayo sehemu hiyo haina maadui. Kisha, tai dume anaenda chini ardhini kuchukua miti yenye miiba anakuja anaitandaza kwenye sehemu wanayotengeneza kiota. Tai dume tena, hurudi ardhini kuchukua matawi ya miti kwa jili ya kutengeneza kiota. Hurudia na kurudia mpaka kiota kinakuwa kikubwa. Kisha baada ya kuweka miiba na vimatawi vidogo vidogo vya miti, tai huyu anaenda tena chini kuchukua majani laini,
Jambo la sita
Akitaka kutaga mayai, tai jike na tai dume hushirikiana kutafuta sehemu salama iliyo juu sana kwenye mti ambayo sehemu hiyo haina maadui. Kisha, tai dume anaenda chini ardhini kuchukua miti yenye miiba anakuja anaitandaza kwenye sehemu wanayotengeneza kiota. Tai dume tena, hurudi ardhini kuchukua matawi ya miti kwa jili ya kutengeneza kiota. Hurudia na kurudia mpaka kiota kinakuwa kikubwa. Kisha baada ya kuweka miiba na vimatawi vidogo vidogo vya miti, tai huyu anaenda tena chini kuchukua majani laini,
Ni kweli mkuu. Bila likinu hilo kubwa la nyuklia hakuna uhai. Mungu Atubariki sote kwa siku ya leo!jua limechomoza...ni ishara ya uhai mpya
I like this. Comment moja unairudia mara tano [emoji23][emoji23][emoji23]. Vita vya likes hivi safi sana.
Kumekuchaje huko Mza?