mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Na kwako MkuuAsubuhi njema
Na kwako MkuuAsubuhi njema
Nasikia jamaa amefilisika kabisaMC HAMMER - You can't touch this
Music and movieKID N PLAY - Do this my way
Imefikasiku ingine tena
AMUN RAtupate baraka za leo
Kazi ni Kazi hila isiwe ya haramukazi ndio msingi wa maisha
Aminanawatakia kazi njema
Asante numbisa makala nzuri sanaJambo la kwanza
Tai hupaa juu sana angani wala shomoro na kunguru hawawezi kufika huko. Hakuna ndege yeyote mwenye uwezo wa kupaa juu sana kufikia kimo anachofikia tai, labda awe tai mwenyewe. Mara nyingi huwa tunawaona mwewe wakipita sehemu fulani, shomoro na kunguru huwazomea, lakini tai hataki vurugu hizo.
Tunajifunza nini? Kaa mbali na shomoro na kunguru. Tai huruka na tai wenzake.
AMUN RAJambo la pili
Tai wanauwezo wa kuona mbali sana. Wanaweza kuona kitu kilichoko umbali wa kilometa tano. Tai akiona mawindo yake huangalia pale pale na huanza kwenda kukamata mawindo hayo kwa kasi kubwa. Haijalishi kama kuna vipingamizi vyovyote njiani, tai hatabadili kuangalia mawindo yake hadi akamate mawindo.
Tunajifunza nini? Unatakiwa kuwa na maono na uyatazame maono yako bila kuangalia pembeni mpaka uyapate au uyatimize hiyo ndiyo siri ya kuelekea mafanikio yako, haijalishi vikwazo unavyokumbana navyo njiani, wewe kaza mwendo bila kurudi nyuma.
09:0106:27
Yapposti na likes
YapJambo la nne
Tai wanapenda mvua kubwa na yenye upepo.
Mawingu yakikusanyika tai wanafurahi. Tai hutumia upepo wa mvua kupaa juu sana angani hata juu ya mawingu. Akifika huko juu sana hatumii nguvu nyingi kupaa anaweza kutandaza tu mabawa yake halafu anaanza kuelea bila shida akifurahia maisha mazuri. Huku ndege wengine wakati wa mvua kubwa yenye upepo, hujificha kwenye mapango na kwenye vichaka.
AMUN RATunajifunza nini? Tunaweza kutumia mvua kubwa yenye upepo (changamoto) kujinyanyua juu sana . watu wote waliofanikiwa wengi wao hufanikiwa wakati wa changamoto kubwa. Wao hutumia mvua ya upepo kupaa juu sana angani tena wakati mwingine juu ya mawingu.
[emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji818] [emoji818] [emoji818]Tai jike atalipokea hilo tawi na anapaa nalo juu sana halafu analidondosha tena. Kama kawaida yake tai dume atalifukuzia mpaka alikamate na atalirudisha kwa tai jike tena. Tai jike ataendelea na mchezo huu mpaka ajiridhishe kwamba tai dume huyo, yuko vizuri na amefuzu majaribio hayo, hapo ndipo tai jike atakubali kupandwa na tai dume huyo.
Tunajifunza nini? Katika maisha yako binafsi au katika biashara yako, unatakiwa kupima mtu unayetaka kushirikiana naye kama kweli amedhamiria kushiriki na wewe. Maana wapo wengine ni waigizaji tu.