Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katibu wa CHAWAMITA nipo napitia mafaili hapa. Chama chetu kinahitaji memba wengi iwezekanavyo. Kama unahitaji kujiunga usione aibu we funguka tu. Unafiki kwetu mwiko. Karibuni sana !!!
c1d753169d27c3bf7d8ca20e7cafd877.jpg
Wengi waliona aibu,ajabu ni kuwa wamejilipua aibu inawaona wao.... Ha wa yuu mzee wa liver.... Ha wa yuu Cole Williams... Gudi moningi carba... Hello Yegomasika mwanachama usiye eleweka...
 
Wengi waliona aibu,ajabu ni kuwa wamejilipua aibu inawaona wao.... Ha wa yuu mzee wa liver.... Ha wa yuu Cole Williams... Gudi moningi carba... Hello Yegomasika mwanachama usiye eleweka...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatari hatari namuona snura makusudi toto la kizaramo na kichaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cole babes ukitaka kusapoti hiki chama you have my full support[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha wa yuu mista chea mani
 
Back
Top Bottom