Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Dear Aunt,
Naomba msaada wako nifanye nini? Mimi ni mke
wa mtu, na mume wangu tunapendana sana. Juzi
niliondoka kwenda kazini nikamuacha mume
wangu ana angalia TV. Sikufika mbali gari ghafla
likazima, nikalazimika kutembea kwa miguu
kurudi nyumbani nikamwambie mume wangu
anisaidie. Nilipofika nyumbani sikuamini macho
yangu baada kumkuta mume wangu na binti wa
jirani yetu. Nilimkabiri mume wangu na kwa
bahati nzuri kakubali makosa kuwa uhusiano wao
una mwaka sasa, lakini cha ajabu amesema
atalazimika kumuacha huyo binti pole pole ili
asimchanganye kisaikolojia kwa kuwa bado
mdogo. Je hii ni sawa? Nifanye nini? Naomba
ushauri Mzee wangu
Fransiska wa Mwenge
JIBU
Binti yangu Fransiska,
Nimesoma kwa makini ujumbe wako, kitu
ambacho nimekiona mara moja ni hili tatizo la
gari kuzimika ghafla. Kwanini uendeshe gari na
baada ya muda mfupi lizime? Hapa kuna
matatizo kadha wa kadha ambayo yanaweza
kuwa chanzo. Inawezekana plag mbovu au uchafu
umeingia kwenye mrija unaopeleka mafuta
kwenye injin. Au pengine ni tatizo la umeme, au
fuel pump, ulicheki kama petroli ipo? Ikiwezekana
waone mafundi warekebishe hivyo nilivyovitaja.
Nategemea ushauri huo utakusaidia mwanangu
Anaebdeleaje TLHi all, leo nilikuwa busy na majukwaa mengine especially kwenye habari za TL.
Nawamis, nawapenda wote nawatakia siku njema.
Chemical formula yetuTOA LIKES POKEA LIKES.... Hata kama ni mgeni huku.
![]()
Teh teh tehNunua mwenyewe
Likes kwa kila post
jamani jamanijakitoo alibembeleza asamehewe bila mafanikio, akaamua aokoke tu, ni kwaya kwa kwenda mbele... Usingizi ukamkatika katiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bob katunyanyasa sana
Na kwako piaAsubuhi njema
Am gudi kwa kweli, nyie watoto wa pwani nyieee[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hatari hatari namuona snura makusudi toto la kizaramo na kichaga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cole babes ukitaka kusapoti hiki chama you have my full support[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha wa yuu mista chea mani
AiseeNa mm umeona wapi nimesema nimeachwa?
Wana ume ndi vyo wa livyoMijanaume isiyojielewa hii,ukute mwanzo alikuwa anamsifia vile vile baada ya kibuti inakuja na mineno ya shombo[emoji57][emoji57][emoji57]mfyuuu zake
loh