Ni bora ukakutana na hayo mapema kuliko ukapokelewa kwenye familia kinafiki.Word[emoji122][emoji122]
Ila hii ndoa mmmh!acha tu....
Hapo mwanamke ajue tu kujishusha ukweni na kwa mwanaume maana......
Katika vitu ambavyo naomba nisijefanya hata kwa bahati mbaya ni kutenganisha ndugu kwakweli maana malipo yake ni makubwa sana
Huyu wa liver anasema ana imani na ho chi minh kuliko hata CCM walivyokuwa na imani na Lowassa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Muulizeni ho chi minh ushauri wa bure
Swali chonganishi[emoji23][emoji23][emoji23]Swali gani hili sasa?
Naona unamuenzi malkia[emoji6]
Anajifariji huyo[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu wa liver anasema ana imani na ho chi minh kuliko hata CCM walivyokuwa na imani na Lowassa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizo ni dharau kwa jibapa sasa... Sh. 8,500 jibapa hilooo...aisee hiki kinywaji bado nafikiria ukinywa sijui unapaa au
Ila yale madude ya jana usiku mmmmmhhh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nashangaa hukuamka etKila dude likitupiwa humu lazima alipoti kwangu as if mimi ni kipofu wa kugundua maajabu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijajua nini tena?togwa ama?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]carbamazepine bado hajajua vizuri.
Kwamba wewe ni mwanachama wa CHAWAMITA?[emoji23][emoji23]Mimi nisemaye ndiye [emoji23] [emoji23]
Sio mbaya nakunywa hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza kuletewa togwa
Mkuu umeamka au umejibia usingizini? Maana huyu mpare ametufanya tuonekane wengine hatuna maana kwenye jamii zetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na yeye atavurugiwa tu. Karma haijawahi kumuacha mtu salama. Muziki mzito wa Al Shabab wake atausikia muda si mrefu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mgeni naona unataka kufukuzwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mgeni aje wenyeji wapone?????
Wahenga walikuwa hawapendi wageni hawa si bure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eeehhh kumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo my princess roho yangu kwatu kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ISIS na ho chi minh wapo kwenye korosho Ntwaraaaaaa...Anajifariji huyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Habari za Leo MkuuKumekucha bro.
We miss u sana na lugha yakoPoa mis u[emoji7][emoji7]
Pamoja mkuu