Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kama ilivyo kwa fisi ni hivyo hivyo pia kwa Mamba simba anapofuata maji akiwakuta Mamba hukasirika sana na atahakikisha anatumia mikwara yake yote kuhakikisha anawafukuzia majini kwani kuwapa mgongo huhofia hofu ile ile inayomfanya akunje miguu akutanapo na fisi. Hivyo kama ukijua pindi unapokutana na wanyama hawa unakutana na hatari za aina hiyo, siku ukisikia zimetoka nguo za matoleo ya chuma usiache kununua kwa usalama wako ? Hahahahaha !