ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Nyinyi mna msimamo. Naheshimu sana mwanamke mwenye msimamo. Siyo kila mwanaume kujipendekeza pendekeza tu.
Kumekucha salama shemeji. Braza Cole siku hizi mbona haonekani onekani sana? Hata paraboz za kukudekesha zimepungua. Au singo faza keshafanya yake kichini chini?
[emoji122] [emoji122] [emoji122] juhudi zenu wote zinaonekana. Kwakuwa umeamua kuja na vionjo tofauti, naamini hata wale wenzetu wa kule watajiunga tuKatibu wa CHAWAMITA kazi yangu nimeimaliza. BAK jana mchana alikorofisha kidogo. Mimi ndiye katibu wa kweli wa chama hiki na si vinginevyo !!!
Mabingwa wa England Chelsea nao walianza michuano hii kwa kutoa kisago cha nguvu baada ya kuichapa FC Qarabag kwa magoli 6-0 kwenye mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Stamford Bridge, London. magoli ya Chelsea yalifungwa na Pedro (dk 5), Zappacosta (dk 30), Azpilicueta (dk 55), Bakayoko (dk 71), Batshuayi (dk 76 na 82).
Kwingineko Paris Saint- Germain iliizaba Celtic mabao matano kwa sifuri, Neymar, Kylian Mbappe na Edinson Cavani wakicheka na nyavu katika mchezo wa kundi B. Bayern Munich pia walipata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Anderlecht.
Barcelona pia ilianza vizuri kwa kuichapa Juventus kwa magoli 3-0, Messi akifunga mawili na Ivan Rakitic la tatu. Sporting Lisbon wakicheza ugenini walipata ushindi wa 3-2 dhidi ya Olympiakos. Mcezo pekee uliomalizika bila magoli ulikuwa kati ya Roma dhidi ya Atletico Madrid.
hatari kweli kweliDoooohhhh[emoji55] [emoji55] [emoji124] [emoji124]