Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kauli toka kwa kiongozi wa taasisi furani, kwamba mbunge furani anaweza kunyimwa Uhuru wake wa kusema chochote ndani ya taasisi hiyo, ni UBABE wa kizamani wa kushabikia kuminya uhuru wa watu kusema ndani na nje ya taasisi husika. >> SIKILIZENI hili siyo jukwaa la siasa, gongeni likes hatutaki povu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
Spika wa ajabu haijapata kutokea
 
[emoji445][emoji443][emoji444][emoji443][emoji445][emoji444][emoji443]
Siasa uchwara....

Bunge uchwara....

Spika uchwara ....

Serikali uchwara.....

Mfumo uchwara .....

Wapinzani uchwara ....

Wanaharakati uchwara ....

Demokrasia uchwara......

Mifumo uchwara .....

Taasisi uchwara .....

UCHWARAAAAA!!! [emoji445][emoji443][emoji444][emoji443][emoji445][emoji444][emoji445][emoji443]
Diktekta uchwarwa
 
Back
Top Bottom