tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,328
HiHi all
ni kweli wewe ni mchungaji, mwijilisti ama ni mbinu za kuvuna vilivyonona tu?Hahahahaha
kwema kabisa aisee
mimi na viv tuko poa kabisa
Anayetubu husamehewa
huku kuzuri bhanaUmegeukia gospo naona. Afdadhali kwa kweli [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Spika wa ajabu haijapata kutokeaKauli toka kwa kiongozi wa taasisi furani, kwamba mbunge furani anaweza kunyimwa Uhuru wake wa kusema chochote ndani ya taasisi hiyo, ni UBABE wa kizamani wa kushabikia kuminya uhuru wa watu kusema ndani na nje ya taasisi husika. >> SIKILIZENI hili siyo jukwaa la siasa, gongeni likes hatutaki povu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Germa machine
Habari za mchana huuNamshukuru Mungu ni mzima
Hawayuu
Diktekta uchwarwa[emoji445][emoji443][emoji444][emoji443][emoji445][emoji444][emoji443]
Siasa uchwara....
Bunge uchwara....
Spika uchwara ....
Serikali uchwara.....
Mfumo uchwara .....
Wapinzani uchwara ....
Wanaharakati uchwara ....
Demokrasia uchwara......
Mifumo uchwara .....
Taasisi uchwara .....
UCHWARAAAAA!!! [emoji445][emoji443][emoji444][emoji443][emoji445][emoji444][emoji445][emoji443]
HahahahahaKila kitu uchwara tu!
Hakuna povu sababu hakuna sekta iliyopona na neno uchwara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa vipi Mzee wa liverMambo
AMUN RA