mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Aisee embu msamehaneHuwezi kihamishia kwangu mkuu!
Aina ya kibuyu chako haiponi kwa dawa zilizopo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaa wapi. Si ajabu hata hizi gospo ni gheresha za kuingilia zizi la mtu. Na kama unacheza na Neno cha moto utakiona wallahi. Ushindwe na ulegee !!!hahahahaha
andjul bhana
mimi ni mtu mpya kabisa
mkuu samahani kwa kuchelewa kukujibu, hata mimi nimeona tatizo hilo baada ya kuingia soon. ntawa pm mods waliangalie hilo tatizoJembeKillo Post yako ya kwanza kabisa mbona haionekani??? nini shida??
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Our own belovely former president H.E Ally Hassan Mwinyi
Utachangua moja kati njia zifuatazo ili uweze kupona!hahahahaha
nitarudi na kiazi mana naona linakusumbua sana
Aaa wapi. Si ajabu hata hizi gospo ni gheresha za kuingilia zizi la mtu. Ushindwe na ulegee !!!
Nakuombea sana mkuu, umefanya uharibifu mkubwa sana,naamini ukitubu kwa dhati ya moyo wako utasamehewa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahahahaha
andjul bhana
mimi ni mtu mpya kabisa
anhaa poapoa kiongozimkuu samahani kwa kuchelewa kukujibu, hata mimi nimeona tatizo hilo baada ya kuingia soon. ntawa pm mods waliangalie hilo tatizo
hapa
sasa hivi nimebadilikaNakuombea sana mkuu, umefanya uharibifu mkubwa sana,naamini ukitubu kwa dhati ya moyo wako utasamehewa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu kijana ni jeuri hamithilikiKwa jinsi anavyotembea fanyeni kumhurumia tu!
Mzigo mzito wamtesa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau kutupa mrejesho mkuu.mkuu samahani kwa kuchelewa kukujibu, hata mimi nimeona tatizo hilo baada ya kuingia soon. ntawa pm mods waliangalie hilo tatizo
Nitaendelea kukuamini pole polesasa hivi nimebadilika
hahahahaNitaendelea kukuamini pole pole
Usicheze na neno la Mungu weweee.