Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hahaha mchina bhana
Hatari tupuMungiki +watu wasiojulikana
Na kama nalala kwe boks sakafuni jeUshauri:tumia dakika 3 na nusu kufanya yafuatayo":
1. Unapoamka usingizini lala kitandani kwa nusu dakika ;
2. Kaa kitandani kwa takribani nusu dakika;
3. Shusha miguu,kaa pembeni ya kitanda takribani nusu dakika.
Baada ya dakika 3 na nusu hutakuwa na tatizo la ukosedu wa damu kwenye ubongo na moyo kushindwa kufanya kazi inapunguza uwezekano wa vifo vya ghafla na kuanguka ghafla.
Mmmhhnagawa like kuanzia saivi mpaka saa tatu kamili kwa yoyote atakaye comment chochote kwenye uzi huu