mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Baby girl waooooo
Baby girl waooooo
Another super star
Mbona tupo
MBEGU ZA MABOGA
Mbegu za maboga zina kiwango kingi cha madini ya ‘Zinc’ ambayo husadia kuongeza kumbukumbu (memory). Kuna njia nyingi za kula mbegu za maboga, moja wapo ni kuzikaanga na kula kama
karanga, ukila kiasi cha kiganja kimoja kwa siku, inakuwa poa.
Numbisa jembekilo umemuona leoMBEGU ZA MABOGA
Mbegu za maboga zina kiwango kingi cha madini ya ‘Zinc’ ambayo husadia kuongeza kumbukumbu (memory). Kuna njia nyingi za kula mbegu za maboga, moja wapo ni kuzikaanga na kula kama
karanga, ukila kiasi cha kiganja kimoja kwa siku, inakuwa poa.
Mkuu mpka saa tatu sisi 24/7nagawa like kuanzia saivi mpaka saa tatu kamili kwa yoyote atakaye comment chochote kwenye uzi huu