Kilikuwa kikosi cha hatariKweli ni zama canter inakuwa gari ya abiria
Unamuwinda shemeji yangu Carba. Umeshagundulika. Kajipange upya...Mambo yamebana, naingia humu kwa machale siku hizi! Nimekutana na tuhuma za watu wawili humu! SHIMBA YA BUYENZE na andjul, jamani eeh; Muacheni andaeitini awe andaeitini! Hana madhara huyu, na wala siyo mtu hatari! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaaa wapi. Kila mmoja hawezi kuwa champion. Otherwise, dhana nzima ya competition ingevurugika !!!
I will go with being fat !!!
Unamuwinda shemeji yangu Carba. Umeshagundulika. Kajipange upya...
Andaeitiini si ajabu ndo alwatann wa shoo za kibabe...Maximum testosterone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Impossible !!!
1993, unanikumbusha mbali sana mkuu. Nawakumbuka marehemu kadhaa wa Simba. Asee. Edward Chumila, Ramadhani Leny, na kwa upande wa Yanga Joseph Katuba , Said "magoli" mwamba kizota.
Mvulana Eddo na msichana wake RegiView attachment 587038hawa je nani anawakumbuka
Kivipi mkuu, mbona Uzi umebamba na mabango ya matangazo yanapata wasomaji!!?Naona kuna maandalizi ya kuufuta uzi wetu pendws
[emoji3] [emoji3] [emoji3] wanakuja fanya nini?Ndo umenishtua wewe hata sielewi sijui ndo multi ID au ni nini
Naona mods waleee wanakuja taratibuu