Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wako siriazi na biashara zao aisee....
Wachina ama?
Chakula chenyewe kilichowafanya wahatarishe mpaka maisha yao sasa. Bila ugali na Sato hapo siendi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Golden bridge ya San Francisco hii ama?
Akidondoka hapo utasikia helikopta sita zimetumwa kwenda kumtafuta [emoji23][emoji23][emoji23]
Wazungu bwana! Akili zao wanazijua wenyewe tu kwa kweli !!!
This is deep !!!
Beautiful. Ni bora kuliko ile ya Jamaica JK alienda kubembea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Brilliant !!!
Nani anatumia haya madawa yote? Chid Benz?
Yap. Life is sacred [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Nani anatumia haya madawa yote? Chid Benz?
This is deep !!!
Gold plated. Liyatch lizima? 4+ Billion $. Halafu unakufa unaliacha? Kama hili ni la kwangu haki ya nani nagoma kufa mpaka kieleweke !!!
Golden bridge ya San Francisco hii ama?