moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wewe ni memba sema tu hujajigundua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wewe ni memba sema tu hujajigundua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kimbunga kimeishia wapi?Huku salama ndugu yangu. Vipi huko unaendeleaje? Viv hajambo? Naona umegeukia gospo. Ni afadhali uokoke kwa kweli japo you have already done a lot of damage. Utasamehewa tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safari yako ya kwenda kukabiliana na Al Shabab imeishia wapiHahahahaha
kwema kabisa aisee
mimi na viv tuko poa kabisa
Anayetubu husamehewa
I am in....Huyu dogo apigwe fitna tu. Yeye ni nani? Na tushindwe tuna nini?
Pale Bunju kuna kijiuchochoro anavyoenda kwake, eneo hilo lina mfaa kumlambisha mayai viza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hakuna namna.. Eeee
Manzese kwa mfuga mbwa, utapata vyoteOoh! My life is in closed system where we praise the Lord hizo takataka nyingine sijui hata zinapatikana wapi.
HahahahahahaHuyu dogo apigwe fitna tu. Yeye ni nani? Na tushindwe tuna nini?
Pale Bunju kuna kijiuchochoro anavyoenda kwake, eneo hilo lina mfaa kumlambisha mayai viza [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hakuna namna.. Eeee
We acha tu ukisikia simba anakuwa paka ndio Siku hiyohaaaa haaa haaaa ile inaitwa jiwe kwa chuma
Hndcgyskhiydsaws!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binti mbyutifulu na kamwinuko huku nyumaAsante sana mchina, mambo yetu ya model hayo. Kwenye zama zile tukiwaita vimobitel[emoji3] [emoji3]. Unakumbuka hiyo ho
Sent using Jamii Forums mobile app