carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nakisalimu baba vHahahahahaha
subiri niongeze nguvu kutoka kwa mchina
ho chi minh msaada huku,wapige vibuyu shimba na andjul watie adabu kabisa
V hajambo?
Nakisalimu baba vHahahahahaha
subiri niongeze nguvu kutoka kwa mchina
ho chi minh msaada huku,wapige vibuyu shimba na andjul watie adabu kabisa
umeona sasa?Hndcgyskhiydsaws!!!
Mkuu kwema?
nazipokea salamu kwa heshima zoteNakisalimu baba v
V hajambo?
Well saidView attachment 587539tumshukuru Mungu kwa nafasi hii nyingine,tufanye yale yanayompendeza
(in carba's voice) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]I am in....
Nashukuru kusikia kama hajambonazipokea salamu kwa heshima zote
Vv mzima kabisa
napambana na hawa wahenga ambao wanadai nimevamia mazizi yao
Kweli mkuu Mara moja moja akitokea safi sanaAisee uwe unakuja mara kwa mara mkuu uendeleze safari uliyoianzisha
Kimbunga kilishapita kikaenda zake kujifia huko. Bado kuna watu hawana umeme na mito ndiyo ina-crest. Mafuriko bado ni shida kidogo....
Usimdhalilishe mwenzio bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahahaaaa haaaa haaaa arsenal kwa mara ya kwanza waliwashangilia city. inaitwa mkuki kwa nguruwe
Marahabaaaaaa shemeji ....Wakubwa shikamooni
Mchina una busaraHawakukosea,.
ni kama mtu kapanda mtini lazima aogope kusinzia sababu ataanguka!
Vivyo hivyo hasa kwa mtu tajiri aogopavyo kudondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
naona anapambana kweli uzi usifutwe wakati yeye hatokei kabisaKweli mkuu Mara moja moja akitokea safi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anisamehe bureUsimdhalilishe mwenzio bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole mkuu, ho chi minh ni mzee mwenzangu. Hawezi akawa na wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] fitna inakuhusu...Hahahahahaha
subiri niongeze nguvu kutoka kwa mchina
ho chi minh msaada huku,wapige vibuyu shimba na andjul watie adabu kabisa