myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
17:22
Habari yako shemejiMarahabaaaaaa shemeji ....
Shimba miji kama hii umeme huwa unakatika kweli na ilitokea no power inakuwaje
Marahaba mama, mzima?Wakubwa shikamooni
AMUN RA16:42
hawawezi kupambana na mtu mwenye maeksipiriensi ya kutosha😎😎Nashukuru kusikia kama hajambo
Endelea tu kupambana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahahaPole mkuu, ho chi minh ni mzee mwenzangu. Hawezi akawa na wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] fitna inakuhusu...
Mpo wanneumeona sasa?
wanavamia wengine wanatupiwa mayai viza wengine
Kabisa mkuu jamaa anapiga likes vizuri sanaCole Williams natambua uwepo wako mkuu
Namshukuru Mungu kwakweliMarahaba mama, mzima?
Maeksipiriensi ya u singo faza?au ya kuvunja mazizi ya watu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]hawawezi kupambana na mtu mwenye maeksipiriensi ya kutosha😎😎
Mzee wa busaramyoyambendi tupo pamoja mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una visa wewe mtoto wa kike[emoji137] [emoji137]
Mkuu mimi avatar yako tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli mkuu mkumbushemkuu uwe unapita pita siku moja moja umetuacha sana..
Kimbia kabisaMaeksipiriensi ya u singo faza?au ya kuvunja mazizi ya watu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
AMUN RAamani na upendo wetu siku zote
Pamoja sanaPoaa poa mkuu
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Aminauhuru na umoja wetu siku zote