Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shimba miji kama hii umeme huwa unakatika kweli na ilitokea no power inakuwaje
Kama sikosei hii ni Chicago. Umeme unakatika vipande vipande na siyo limji lizima. Mwaka 2008 nadhani kulikuwa na shock kutoka sun flares zilipenya magnetic field ya dunia zikaleta blackout kuanzia Canada mpaka baadhi ya miji mikubwa ya Amerika hasa ya huko kaskazini karibu na Canada.
 
1b86a91d3d306bb0283995b977a45aaf.jpg
Kwenye khanga napo upo
 
Back
Top Bottom