Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwani Yegomasika kafanya uharibifu gani na wapi[emoji23][emoji23]
kwani mimi nimefanya uharibifu gani na wapi?
Kim-Jong-parade-Getty.jpg
 
Spika wa ajabu haijapata kutokea
Machiavelli alionekana akiwa na tochi akimulika mulika sokoni mchana wa Jua Kali. Akaulizwa "kulikoni mchana wa Jua Kali na tochi mkononi"? Akajibu " Kwenye mwanga huu mkali wa jua kuna watu bado wanahitaji mwanga wa ziada wa tochi ili waweze kuona". Haiyukini tungekuwa na Machiavelli leo angetembea na baadhi ya watu wetu mjini ili hali anawamulikia tochi ili waione njia. NIMESEMA "GONGENI LIKES POVU HATUTAKI"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom