moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akutishie na paja kabisaKatishia kunipiga na mguu wa bata[emoji23][emoji23][emoji23]
Carba jembekilo anakusalimia mbona unamchuniaYego anasingiziwa huyo namtetea[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa kinachomata ni likes tu mkuu. Au ngoja nianze namba basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye khanga napo upo
Bado baby nlikuwa nina kiporo cha report week nzima yaani hapa nipo hoiiii[emoji20]Thank you baby. Muda wa kutoka ofisini huu, au bado unamalizia malizia kazi? Be happy. God is in control [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hahahaaaasasa wewe najiandaa kukupoteza kabisa
View attachment 587554
Yuko poa kabisa busy tuISIS yuko wapi Yego? Yuko salama?
Uchwaraaaaaaaa [emoji443][emoji444][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji445]Machiavelli alionekana akiwa na tochi akimulika mulika sokoni mchana wa Jua Kali. Akaulizwa "kulikoni mchana wa Jua Kali na tochi mkononi"? Akajibu " Kwenye mwanga huu mkali wa jua kuna watu bado wanahitaji mwanga wa ziada wa tochi ili waweze kuona". Haiyukini tungekuwa na Machiavelli leo angetembea na baadhi ya watu wetu mjini ili hali anawamulikia tochi ili waione njia. NIMESEMA "GONGENI LIKES POVU HATUTAKI"
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisanjaa tupu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu Ho Chi Minh kakupa njia nne za kulipasua dude lako, chagua moja ambayo haitakuwa na damage kubwa, ukipona tu unashushiwa lingine,yaani ni bandika bandua....
Mkuu MkuuMachiavelli alionekana akiwa na tochi akimulika mulika sokoni mchana wa Jua Kali. Akaulizwa "kulikoni mchana wa Jua Kali na tochi mkononi"? Akajibu " Kwenye mwanga huu mkali wa jua kuna watu bado wanahitaji mwanga wa ziada wa tochi ili waweze kuona". Haiyukini tungekuwa na Machiavelli leo angetembea na baadhi ya watu wetu mjini ili hali anawamulikia tochi ili waione njia. NIMESEMA "GONGENI LIKES POVU HATUTAKI"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahasasa wewe najiandaa kukupoteza kabisa
View attachment 587554
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akutishie na paja kabisa
Baba nilivurugwa[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe mtoto good evening now