what is F*CK?
Moja Kismayu hapaKwema ndugu. Bado uko Somalia au ulisharudi?
We unapenda kuamshwa usingizini? Ule mtamu kabisa unaota makoloni yako mbalimbali ulikopita na kufanya uharibifu usiorekebishika?not good
Until he becomes dinner [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]GOOD
sipendi lakini siwezi onyesha ile isharaWe unapenda kuamshwa usingizini? Ule mtamu kabisa unaota makoloni yako mbalimbali ulikopita na kufanya uharibifu usiorekebishika?
hahahahahaUntil he becomes dinner [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mhhh
Mtakatifu wewe. Mazizi ya watu unaharibu lakini huwezi kuonyesha mido finga? Which one, in your view, is worse? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sipendi lakini siwezi onyesha ile ishara
Wako siriazi na biashara zao aisee....
Probably this is the most expensive sip of Pepsi evaaaaa !!!!
Sidhani kama mimi ni mtakatifu kivileMtakatifu wewe. Mazizi ya watu unaharibu lakini huwezi kuonyesha mido finga? Which one, in your view, is worse? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Beautiful. Ni bora kuliko ile ya Jamaica JK alienda kubembea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sampuli hii napishana nazo sana huku somaliaDem dimples......
Mzee wa Pwani hizo Habari haziwezi kuwa kweli binti yule yupo very determine kuniacha mimi sijuiHahahaha [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Yegomasika analinyatia zizi la Cole[emoji3] [emoji3] muhenga yego
Sent using Jamii Forums mobile app
Denja Denja hasa kwa mabinti
ujumbe umefikaDenja Denja hasa kwa mabinti
Kuna hii mikanda sijui inaitwa slimming belt mnajifunga tumboni ili kufanya tumbo liwe jembamba kama la huyu mama kutoka Sauzi.
Mikanda hiyo sasa imethibitishwa kuwa na madhara makubwa hasa kama ikitumika kwa muda mrefu. Watu wanavaa mikanda hii mpaka wanavibana viungo vya ndani kiasi kwamba vinashindwa kufanya kazi sawa sawa. Tayari matatizo ya ini, figo pamoja na pancreas yameanza kuwaandama watumiaji wa mikanda hii.
Japo hakuna uthibitisho wa kisayansi kuwa inafanya kazi, wanasayansi wanasisitiza sana kuwa mikanda hii ikitumika basi mtumiaji asijibane sana kiasi cha kuwa uncomfortable na isitumiwe kwa muda mrefu sana. Inaweza pia kubana mzunguko wa damu, kuathiri blood pressure na kusababisha matatizo mengine kama blood clots, haert attack na hata strokes....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tayari tuna katibu na mwenyekiti humu. Kwendraaa