Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Straight talk (Lemutuz.....)
Fanya hivi? Ukim-quote mtu at least say something ili kuendeleza mjadala/utani. Tunafurahi na uzi unasonga. Sasa unakwoti tu kimya basi then what? Kama ni post zako at least tunaweza kusema kuwa kuna kitu unasisitiza.
Kuna mwenzetu hapa alianzaga hivi alilalamikiwa sana kipindi fulani mpaka baadaye akajirekebisha akahamia kwenye spoiler na baadaye kwenye namba.
Samahani kama nimekukwaza. Si lengo langu