Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwema
Wadau kwema humu ee
Wadau kwema humu ee
Kwema sijui weweWadau kwema humu ee
Na chache tu zikigoma kufa zikawaomba na marafiki zake wapendwa waungane nazo katika mgomo huo basi li-tumor hiloo kansa tayari mwanawane. Miili yetu hii we acha tu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]13. Je, wajua kuwa ubongo wa mwanadamu hutumia zaidi ya asilimia 25 ya oksijeni yote inayotumiwa na mwanadamu?
14. Je, wajua kuwa kila dakika moja inayopita, kuna seli kati ya alfu 30 hadi 40 zilizokufa zinazodondoka toka katika mwili wa mwanadamu?
Sema bro. Unakuja huku kwa kushtua shtua. Majukumu yamekubana?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] bro bhana
CantstopwontStop
Tatizo kwa wanachama waandamizi wa CHAWAMITA tunalijua. Aje akuinamie hapo eti anakufundisha kupiga gitaa la solo kama Dali Kimoko. Halafu vidole vikianza kutetemeka mpaka unakosea note anakupa D kumbe tatizo ni yeye na siyo wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna tatizo?
Hujajibu swali: Unaye hunaye? Yuko wapi?Hahahaha
Nipo Kismayu mogadishu sijawahi kufika
Hujajibu swali: Unaye hunaye? Yuko wapi?Hahahaha
Nipo Kismayu mogadishu sijawahi kufika