Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Fanya hima uje na mfanyakazi wa ndani pia !!!sampuli hii napishana nazo sana huku somalia
Straight talk (Lemutuz.....)
Fanya hivi? Ukim-quote mtu at least say something ili kuendeleza mjadala/utani. Tunafurahi na uzi unasonga. Sasa unakwoti tu kimya basi then what? Kama ni post zako at least tunaweza kusema kuwa kuna kitu unasisitiza.
Kuna mwenzetu hapa alianzaga hivi alilalamikiwa sana kipindi fulani mpaka baadaye akajirekebisha akahamia kwenye spoiler na baadaye kwenye namba.
Samahani kama nimekukwaza. Si lengo langu
SamahaniStraight talk (Lemutuz.....)

Na mimi nimeliona hilo [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Bob12 why empty quotes, always huwa najiquote empty huwa sifanyi hivyo kwa wengine,namiss improtant notifications
Straight talk (Lemutuz.....)
Fanya hivi? Ukim-quote mtu at least say something ili kuendeleza mjadala/utani. Tunafurahi na uzi unasonga. Sasa unakwoti tu kimya basi then what? Kama ni post zako at least tunaweza kusema kuwa kuna kitu unasisitiza.
Kuna mwenzetu hapa alianzaga hivi alilalamikiwa sana kipindi fulani mpaka baadaye akajirekebisha akahamia kwenye spoiler na baadaye kwenye namba.
Samahani kama nimekukwaza. Si lengo langu
Mfanyakazi wa ndani hapana mkuuFanya hima uje na mfanyakazi wa ndani pia !!!
samahani woteNa mimi nimeliona hilo [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Huyu ndiyo yule jamaa alikuwa na avatar ya jamaa mwenye mapua kalala? Aliyejiintavyuu mwenyewe akachekesha watu sana? Mbona kabadilisha ID? Alilimwa ban ama?Tayari tuna katibu na mwenyekiti humu. Kwendraaa
Huyu naye ni mwenyekiti wa nini? CHAWAMITA au chama gani?