[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] bro bhanaKwa leo hii General Secretary wa CHAWAMITA naishia hapo. Jana Moudgulf alikorofisha kidogo na juzi BAK naye alijaribu. Cheo hiki kina changamoto nyingi.
Note: Hapa tunataniana tu jamani na kama kuna mtu may be anakwazika na picha za aina hii basi aseme. CHAWAMITA Hoyeeeeeee !!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pamoja ndugu. Kaa tu mbali na mazizi ya watu. Baby wangu sijamsikia tangu juzi. Una habari zo zote kumhusu? Isije ikawa umeenda naye Mogadishu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]samahani wote
Kuna tatizo?Huyu mzungu dah. Eti mwalimu wa muziki....
Si ni yule jerremiah ka adili jina alikua anajiita mwenyekiti wa uzi huu
HahahahaPamoja ndugu. Kaa tu mbali na mazizi ya watu. Baby wangu sijamsikia tangu juzi. Una habari zo zote kumhusu? Isije ikawa umeenda naye Mogadishu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nini kimempata mpaka kubadilisha ID? Alilimwa ban ya muda mrefu ama?