Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

13. Je, wajua kuwa ubongo wa mwanadamu hutumia zaidi ya asilimia 25 ya oksijeni yote inayotumiwa na mwanadamu?
14. Je, wajua kuwa kila dakika moja inayopita, kuna seli kati ya alfu 30 hadi 40 zilizokufa zinazodondoka toka katika mwili wa mwanadamu?
Na chache tu zikigoma kufa zikawaomba na marafiki zake wapendwa waungane nazo katika mgomo huo basi li-tumor hiloo kansa tayari mwanawane. Miili yetu hii we acha tu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Sema bro. Unakuja huku kwa kushtua shtua. Majukumu yamekubana?

Cheo changu kina changamoto nyingi kwa sababu chama ni kikubwa. Sometimes inabidi nigangamare ili kukilinda !!!
 
Kuna tatizo?
Tatizo kwa wanachama waandamizi wa CHAWAMITA tunalijua. Aje akuinamie hapo eti anakufundisha kupiga gitaa la solo kama Dali Kimoko. Halafu vidole vikianza kutetemeka mpaka unakosea note anakupa D kumbe tatizo ni yeye na siyo wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…