Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Sawa na mto Nile?
Aisee. Nilikuwa sijui hiiJe wajua kuwa magema ya maporomoko ya steigler " Steigler gorge water fall" ndipo ulipo kufa mto Ruaha na kuanza mto Rufiji mara baada ya kuungana na mto mwingine mkubwa wa Kilombero?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante, nawe salama?