Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watu kama hawa ni wabaya kwenye mitihani mana wanatunga maswali magumu kama wanakukomoa vile[emoji57]
Yeah! Niliwahi kuwa naye mahala ilikuwa shida. Jamaa anasoma tu notisi na kuelezea concepts hawezi lakini subirisha mitihani yake sasa. Darasa watu 80 A wanapata watatu tena wasichana tena wote wana mamisa......Hovyo kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kuna mmoja hivi ufundishaji wake unafanana na huyo unaemsemea alitoa pepa darasa zima tuli sap,sitakaa nimsahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…