ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Kk upo mkuu
Wa jana
WDCXCIXWDCXC
Acha mbwembwe wewe
HahahahahaMambo yamebana, naingia humu kwa machale siku hizi! Nimekutana na tuhuma za watu wawili humu! SHIMBA YA BUYENZE na andjul, jamani eeh; Muacheni andaeitini awe andaeitini! Hana madhara huyu, na wala siyo mtu hatari! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazee wa zamaWanamsingizia, yego ni mhenga wa zama, alikuwepo zama za Market Street , kabla ya Indira Ghandi street. pia Yegomasika tulikuwa naye zama za INDEPENDENCE AVENUE, kabla ya SAMORA AVENUE.yeye ni shahidi. aje mwenyewe akanushe
Sent using Jamii Forums mobile app