ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
HahahahahaGold plated. Liyatch lizima? 4+ Billion $. Halafu unakufa unaliacha? Kama hili ni la kwangu haki ya nani nagoma kufa mpaka kieleweke !!!
Watu hawapo humu wapo kwenye uzi wa interview ya Faiza foxy huko.Mfukunyuku I guess [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
HahahaAfadhali hata hawa wanapambana na hali yao !!!
amun ra
Tatizo wanapenda breaking newsAkidondoka hapo utasikia helikopta sita zimetumwa kwenda kumtafuta [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wazungu bwana! Akili zao wanazijua wenyewe tu kwa kweli !!!