Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Who is sheKadizaini mwenyewe, ana-model mwenyewe na anapiga hela nzuri tu. Fursa fursa fursaaaa!!!
Mia mia MkuuHata huyu naye anapiga hela ndefu kwa kuuza hii swimming suit yenye motif ya Ghana. Wamempiga madongo kuwa eti mnene binti kagangamara mpaka kimeeleweka [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
HahahhaaKwa leo hii General Secretary wa CHAWAMITA naishia hapo. Jana Moudgulf alikorofisha kidogo na juzi BAK naye alijaribu. Cheo hiki kina changamoto nyingi.
Note: Hapa tunataniana tu jamani na kama kuna mtu may be anakwazika na picha za aina hii basi aseme. CHAWAMITA Hoyeeeeeee !!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona bado mkuuShimba hii mida ya wanga hatari tupu mnatupia vitu vya hatari