ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Yap ilikuwa njema sanaasubuhu njema
AMUN RAafya na uzima
Na majira yakekila jambo na muda wake
Bahati ya mwenzio usilalie mlango wazikila mtu na bahati yake
Chemical formula yetutoa likes nawe upate likes
Du unakwenda na kipindiHahaaa... Leo imekula kwako Mkuu! Ka jakitoo kameuchapa mpaka asubuhi! [emoji23][emoji23][emoji23]
AMUN RA06:41
Wakekila jambo na wakati
Kwa kila postlikes
Duandjul, habari ya asubuhi Shekhe! Pamoja na kunitemea sumu wewe na MAKAMU wako lakini wewe bado ni ndugu yangu tu! Ni mimi mtiifu, andaeitini! [emoji23][emoji23][emoji23]